WEMA NA AUNTY EZEKIEL
Urafiki kati ya mastaa hawa wawili yaani Wema Sepetu na Aunty Ezekiel
umepamba moto mara dufu hasa baadaya Wema na Kajala kutofautiana...hii
inajidhihilisha wazi ukifuatilia TRENDs za wawili hawa kwenye mtandao wa
INSTAGRAM....
Wakati Wema na Kajala wapo pamoja ilikuwa haipiti wiki bila wawili hao
(Wema na Kajala) kupigapicha pamoja na kuweka INSTAGRAM au mmoja kati
yao kuweka picha ya mwenzake na kuaandika ujumbe kuonyesha wanvyo
pendana....HII ILIKUWA SAFI SANA....
Hapa marafiki hao wawili wakiwa katika pozi tofauti.
Hapa kidume Diamond platinum akitomaswa kwa mabusu mwanana kutoka kwa ma shosti hao wawili.
Lakini wasi wasi wangu ni kwamba yasije yakajitokeza yale yale yaliyotokea enzi za urafiki wa Wema na Kajala.