MASIKINI MV FATIH..!!!!!!!!
MV. FATIH
NI MELI YA MIZIGO INAYOMILIKIWA NA KAMPUNIN YA SEAGUL, MV FATIH AMBAYO HUFANYA SAFARI ZAKE KATI YA DAR ES SALAAM, ZANZIBAR NA PEMBA IMEPINDUKA NA KUZAMA KATIKA BANDARI YA MALINDI MJINI ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA JANA IKITOKEA DAR ES SALAAM KUJA ZANZIBAR. HII NI AJALI KUBWA YA KWANZA KUTOKEA HAPA ZANZIBAR INAYOHUSISHA MELI.
AJALI HIYO IMETOKEA KATIKA GATI IKIWA INASUBIRI KUWEKEWA NGAZI ILI ABIRIA WAWEZE KUTEREMKA PAMOJA NA KUTEREMSHA MIZIGO.