BELINDA FASHION ANAKUKARIBISHA KWA KWA NGUO ZA KISASA ZA KINA DADA WA KILEO PAMOJA NA MIKOBA, VIATU VYA KINA DADA WANAOKWENDA NA WAKATI, VIPODOZI VYA AINA ZOTE, LESS WIGI NA RASTA ZA AINA MBALI MBALI.
BAADHI YA WATEJA WAKINUNUA VIATU KUTOKA NDANI YA DUKA LA KISASA LA BELINDA LILILOPO MICHENZANI ZANZIBAR
MREMBO HUYU ANACHAGUA VIATU NDANI YA DUKA LA BELINDA.
NGUO ZA KIKE ZA KIKE ZA AINA MBALI MBALI NA KWA SIZE MBALI MBALI ZINAPATIKANA.
MIKOBA IMARA YA NGOZI PIA INAPATIKANA.
MIKOBA YA KIKE
KAKA YENU NA MIMI NIMETINGA NDANI YA DUKA LA BELINDA KWA AJILI YA KUMCHUKULIA WIFI YENU KOKOKO YA KISASA.
NIKI SHOW LOVE NDANI YA DUKA LA BELINDA MICHENZANI ZANZIBAR
NA MIMI NIKICHEKI KIWALO KWA AJILI YA WIFI YENU JAMANI.
BELINDA FSHION WANAPATIKANA KILA SIKU KUANZIA SAA 2 ASUBUHI MPAKA SAA 4 USIKU, WANAPATIKANA MICHENZANI ZANZIBAR. KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NAO KWA NAMBA 0717- 22 40 00. KWA BIDHAA BORA ZA MAVAZI UREMBO NA VIPODOZI NDANI YA ZANZIBAR JIBU NI BELINDA FASHION..