Wewe unamtambua vivuri huyu binti?! Nyie ambao ndio Ma- supa staa wa hapa Bongo hebu kaeni na hilo kinda mjaribu kulipa darsa kwa sababu huko ntunakoelekea kwa upande wake wala sio kuzuri hata kidogo. Shule itamshinda buree. Changamoto kwenu akina dada na kina mama hebu jaribuni kumrudisha kundini.