Mwana dada huyu anajiita Prety Girl yeye ni mtoto wa ki-Tanzania ambaye amelelewa katika maadili halisi ya Afrika, na pia anajisikia kuwa m-Tanzania. Kwa kuthibitisha hilo unamuona hapo juu alivyo tupia kitu cha dera hapo kati.! Hongera shosti kwa kujivunia utanzania wako.