Charles Francis a.k.a C-9, producer mdogo ambaye anafanya mambo makubwa sana katika kuukuza mziki wa Tanzania, dogo alianza kufanya kazi katika kituo cha Radio cha 90.9 Chuchu fm cha visiwani Zanzibar akiwa kama Radio producer. Lakini pia mchizi alitumika hata katika studio za Maconela records pande za Zanzibar.
Mkali huyo ndiye aliyetupia madini ya ukweli katika Ngoma kali ya Ray C inayoitwa
mama ntilie. Blogu hii inamtakia kila la heri bwana mdogo C-9. C-9, keep it real brother!!!!!!!!!!!