WALE MABINGWA WA KUUZA NGUO ZA AINA ZOTE HAPA ZANZIBAR BELINDA FASHION, WAMESHUSHA MZIGO MPYA WA NGUO ZA AINA ZOTE, MAGAUNI YA KISASA, SKETI, TOPS, MIKOBA, POCHI, VIATU VIREFU NA VIFUPI, NGUO ZA KUTOKEA USIKU NA KADHALIKA KUTOKA UINGEREZA NA UBELGIJI.
Bi. DADA AKIPENDEZA NA MKOBA WAKE ALIOUNUNUA
NDANI YA DUKA LA BELINDA FASHION LILILOPO MICHEZANI MAKONTENA ZANZIBAR.
MREMBO DIDA AKIPIGA POZI NDANI YA DULA LA BELINDA FASHION
PENDEZA NDANI YA BELINDA FASHION
HIVYO NI BAADHI TU YA VIATU VINAVYOPATIKANA BELINDA FASHION
WAREMBO WAKIJIACHIA NDANI YA DUKA LA KISASA LA NGUO ZA KIKE PAMOJA NA VIPODOZI VYA KILA AINA LA BELINDA FASHION LILILOPO MICHENZANI ZANZIBAR.
WANAWAKE WOTE WANAOKWENDA NA WAKATI NA KUJITAMBUA, WANAKIMBILIA BELINDA FASHION KWA MAVAZI YA KISASA NA VIPODOZI VIZURI.
BELINDA FASHION NDIO HABARI YA MJINI..!!!!!!