Mimi mwenzenu sijaelewa vizuri jamani, kinachokwenda kuzikwa ni hilo jeneza, udini, ukanda au ukabila? Hebu tazama na hapa chini napo.
Hebu jiulize kwa nini ramani ina rangi ya kijani na maandishi yaliyopo ndani ya ramani hiyo yana rangi ya njano? Au ndio mambo ya KAMPENI NINI?