Mdau Patrick Buluda (patty b) akiwa na uso wa furaha baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Faith Kategile.
Baada ya kutoka Kanisani Mdau (Patty b)akiwa na mkewe bi. Faith Kategile wakiwa katika tafrija huku wakitafakari maisha mapya watayaanza vipi.
Picha ya chini Patty B akiwa katika pozi na mkewe.
Hapo Patty B akiwa ofisini kwake.