Hawa jamaa walikuwa ni watangazaji, kiukweli walikisimamisha vizuri sana kituo cha Radio cha 89.0 Voice Of Tabora fm, baada ya kazi ngumu ya kutoa burudani na kuelimisha jamii, hapa walijichanganya na washikaji katika kushuhudia mashindano ya kumtafuta miss utalii iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha utumishi wa umma a.k.a utalii a.k.a
'zizini' Kutoka kulia ni Dee 7, F.d.k 1 pekee, Dixon Busagaga, Patty 'B' na Masanja junior.
Hao ni baadhi ya waliokuwa watangazaji wa
89.0 v.o.t fm meneja wao Abdallah Hussein 'Master Voice' Patty 'B' Tony Nyamondo, Vituko Salala, Frida Mbuzi hapo waki shoo lavu na mashabiki wao.