
HII NI GARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULENCE) IKIWA INABADILISHA GURUDUMU NDANI ENEOLA HOSPITALI KUU YA ZANZIBAR a.k.a MNAZI MMOJA BAADA YA KUGUNDULIKA KAMA INA PANCHA ILI IWEZE KWENDA KUCHUKUA MAJERUHI PAMOJA NA MAITI KATIKA AJALI YA KUZAMA NA KUPINDUKA KWA MELI YA MIZIGO YA MV. FATIH KATIKA BANDARI KUU YA ZANZIBAR IKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM.
JE! NI KWA NINI GARI HIYO ISINGEKUWA NZIMA MUDA WOTE? INCASE KUNAPOTEKEA TATIZO LA GHAFLA BASI MAMBO YAWE MSWANO ...?????????