
Mchezaji wa timu ya soka ya Moro utd pamoja na Taifa Starz Nizar Halfan pichani akijaribu kuwatoka wachezaji wa timu ya white caps ya nchini new Zealand.
Mdau, hebu mtazame vizuri Nizar utagundua vitu vingi sana. Sasa wewe ukiwa kama mdau wa soka una changamoto gani kwa wachezaji wa bongo? Kama uwanja mzuri tena wa kisasa tunao rais wetu ni mdau namba mmoja wa soka, wewe unafikiri kwa nini timu yetu ya taifa imekuwa ikivurunda mara kwa mara?