Mshambuliaji wa
Wekundu wa Msimbazi Mbwana Samata akiinyanyasa ngome ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo uliopigwa jioni ya leo katika dimba la uhuru jijini Daer Es Salaam.
Shija Mkina akiisumbua ngome ya Mtibwa Sugar.
Wachezaji wa Simba wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na Mbwana Samata. Amri Kihemba akiwa amembeba Samata, na kulia ni Nico Nyagawa. Simba imeifunga Mtibwa kwa magoli 4-1.