Hizo ni baadhi tu nyumba jijini Dar Es Salaam ambazo zimefunikwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea nchini kote ambazo zimesababisha mafuriko jijini humo.
Hapa ndio nathibitisha ule usemi wa kiswahili
kufa kufaana, akijana huyo ameamua kujiajiri mwenyewe kwa kuwabeba watu na kuwavusha katika maji.
Hao sio wakimbizi, la hasha! ni mafuriko tu jijini Dar Es Salaam.
wahanga wa mafuriko kigogo jijini Dar Es salaamHapo hakuna cha boda boda, guta wala dala dalaMvua imesababisha njia nyingi jijini Dar Es Salaam kutotumika kwa sababu zimejaa maji. Hapo ni daraja la Sarenda, imebidi njia zote zielekee upanda mmoja.