Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ndiye
mwanasoka anaongoza kuwa na watu wengi zaidi wanaomfuatilia katika mtandao wa
kijamii wa Instagram.
Ronaldo anaongoza kwa kuwa na watu milioni 39.4
wanaomfuatilia akifuatiwa na washambuliaji wawili wa Barcelona, Neymar na
Lionel Messi.
Neymar ana watu milioni 36.5 wanaomfuatilia na Messi
ana milioni 30.5 huku wachezaji wengine wawili wa Madrid, James Rodriguez na
Gareth Bale wakikamilisha tano bora. Angalia 10 bora ilivyo.
1. Cristiano Ronaldo - 39.4 million followers
2. Neymar - 36.5 million followers
3. Messi - 30.5 million followers
4. James Rodriguez - 16.7 million followers
5. Gareth Bale -11.4 million followers
6. David Luiz - 11 million followers
7. Zlatan Ibrahimovic - 10 million followers
8. Ronaldinho - 8.7 million followers
9. Karim Benzema - 8.3 million followers
10. Thiago Silva - 8 million followers