Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amekutana na mkong’oto kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Ally
Yanga alionyesha kuzozana na askari polisi akiwa jukwaani ambao
walimbembeleza ateremke lakini alikuwa mbishi hadi walipoanza
kumtandika.
Shabiki
huyo, mara kwa mara amekuwa akizozana na askari polisi katika viwanja
mbalimbali. Lakini kipigo cha leo kilimzidi akalazimika “kutii amri
baada ya shuruti.”
Picha kwa hisani ya saleh jembe.