KUMRADHI MDAU MDAU UNAYEISOMA BLOG HII NAPENDA UTAMBUE KWAMBA NA MIMI NI BINAADAMU NA MAKOSA YAMEUMBWA KWA KILA BINAADAMU. HIVYO BASI HIYO INANIFANYA NISEME HAKUNA BINAADAM MKAMILIFU.NAPENDA KUWAOMBA RADHI KWANZA WANAFUNZI, PILI WEWE MDAU MPENZI WA BLOG HII. KUTOKANA NA MAKOSA YA KIUANDISHI YALIYOJITOKEZA MWISHO WA HIYO STORI HAPO CHINI YENYE KICHWA CHA HABARI KINACHOSOMEKA 'JAMANI ADHA HII YA USAFIRI SARIDALAMA ITAKWISHA LINI???NAWAOMBENI RADHI WOTE MLIOKEREKA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE. Kwani lengo langu lilikuwa ni kusema hivi 'KUNA ULAZIMA WA KUWATIA MBOKO WANAFUNZI WANAPOCHELEWA MASHULENI??
AHSANTENI KAMA MMENIELEWA..!!!