HUYO ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda akiambatana na mkewe Tunu, huku wakipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa polisi mkoani Rukwa Isuto Damina Mantage wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi. Mh. Waziri mkuu yupo katika ziara wilayani humo.