Mwana dada Ritha ChibomboMduma ambaye ni dereva wa Treni anathibitisha kwamba kwa sasa hakuna kazi ya wanaume pekee. Mwana dada huyo mwenye umri wa miaka(29) ameajiriwa na mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Kama Dereva ambaye anausukuma mzigo huo wa abiria kutoka Dar Es Salaam hadi Zambia.
Blogu hii inamtakia kila la heri Bi. Ritha katika kazi zake za kila siku.