Asilimia kubwa ya vijana wa ki-Tanzania wamejiajiri wenyewe katika kituo hiki kikuu cha mabasi kilichopo ubungo jijini Dar Es Salaam, lakini pia ni kituo kikuu kwa sababu kinapokea wageni hata kutoka nje na nchi hii.
Tazama pichani baadhi ya vijana
'wapagazi' wa mizigo. Hapo wametulia kidogo. Je! ni uchache wa wasafiri au vipi?