
Mwana da shosti anaitwa Vanessah Sillos kutoka katika mjengo wa 88.9 Uplands fm, hapo akiwa katika pozi na prodyuza wa Radio hiyo.
Mdada huyo akishirikiana na Master E 'tha prezidaa' pia unaweza kuwapata kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa katika kipindi cha Safari Bit.