
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli
amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za
reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito #(Pichani) kufuatia
ukiukwaji mkubwa wa taratibu za utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya
kati sambamba na na kuivunja bodi ya RAHCO.