Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa
Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo
Disemba 23, 2015.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum
wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi
hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo
.