Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki Dunia eneo la Soni, Lushoto
Mkoani Tanga kufuatia ajali ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi kuanguka
nakubiringika bondeni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka
sasa.

Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tukio la ajali hiyo iliyotokea Soni,Lushoto mkoani Tanga

Baadhi ya mashuhuda wakitazama Lori hilo lililopelekea vifo vya
watu zaidi ya kumi baada ya kupinduka na kubiringika bondeni,huko
Soni,Lushoto mkoani Tanga