Diamond na mchumba wake Zari The Bosslady wataiteka Kampala, Uganda wikiendi hii.
Wote watakuwa na show tofauti.
Zari
atakuwa na All White Party Alhamis hii kwenye kiota cha Guvnor huku
Diamond Ijumaa hii akitumbuiza kwenye uwanja wa cricket wa Lugogo akiwa
na msanii wa Nigeria, Patoranking kwenye show ya Born 2 Win.
Tayari Zari ameshawasili nchini humo huku Diamond akitarajiwa kuwasili leo au kesho.