Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Mbunge wa Viti Maalum,Azza Hillal Hamad kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Cecilia
Daniel Paresso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)