Misa ya
kumbukumbu ya marehemu Leticia Nyerere iliyofanyika siku ya Jumamosi
January 16, 2016 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland na
kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Marekani.
Mwili wa marehemu Leticia Nyerere unatarajia kufika Tanzania kesho
Jumanne January 19, 2016 na utaagwa Dar es Salaam na mazishi yake
yanatarajiwa kufanyika Butiama. Picha na Iska Jojo.
Wana
familia wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya marehemu Leticia Nyerere
iliyofanyika siku ya Jumamosi January 16, 2016 katika kanisa la Mt.
Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Kutoka kushoto ni Bi.
Kijogoo kutoka Arizona,,Margareth Mageni na ,Flora Mageni
Balozi wa
Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akitoa mkono wa pole kwa
mume wa marehemu Madaraka Nyerere kwenye misa ya kumbukumbu ya
marehemu Leticia Nyerere iliyofanyika siku ya Jumamosi January 16, 2016
katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu,
jamaa na marafiki
Title :
MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU LETICIA NYERERE.
Description : Misa ya kumbukumbu ya marehemu Leticia Nyerere iliyofanyika siku ya Jumamosi January 16, 2016 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Ma...
Rating :
5