Wahariri wa gazeti la Mawio wakijisalimisha Makao Makuu ya Polisi jijini Dar Es Salaam leo, mara baada ya jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta kwa ajili ya maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii. Wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absaloum Kibanda.

Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Nchini Absaloum Kibanda akizungumza na waandishi wa habari leo katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar Es Salaam leo kuhusu kufungiwa kwa gazeti la Mawio jana.
Mwenyekiti wa Jukwaa la
wahariri, Abalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari katika
makao makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam. Kuhusiana na
kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.
Copy the BEST Traders and Make Money :
http://bit.ly/fxzulu
Wahariri wa Gazeti la
Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam leo
mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili
ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa na
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.