Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dr
Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.
Rais mstaafu
Kikwete akiwa shambani kwake
Msoga Chalinze katika shamba la mahindi wakivuna, Rais mstaafu
Kikwete alikuwa mkewe Mama
Salma Kikwete.
Rais mstaafu Mh. Jakaya Kikwete akiwa na mkewe mama Salma ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa wa viti maalum.
Picha hizi Mheshimiwa J.K amezipost kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram