Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein Akijadiliana Jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh Ayoub
Mahamud Mohamed alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata
-Kinuni mpaka Kijito upele inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya
Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya
Maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama
cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya
kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele
inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya
kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B”
katika Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZMhe.Haji Omar
Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud
Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na
Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )
alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito
upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa
katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya
ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh Ayoub Mahamud Mohamed Akieleza
Machache Namna kampeni ya Mimi na wewe ilivyoweza kuleta Mapinduzi
Makubwa Kwenye Wilaya ya Magharibi B Ambapo wamefanikiwa Kujenga
Madarasa Matatu na Maabara kwa Muda wa Siku kumi na Moja,Rais Shein
Amempongeza Mkuu waMkoa huyo kwa Juhudi kwabwa Anazojitolea kuwaletea
Maendeleoa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein Akiwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa
alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba wilaya ya
Magharibi B Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara kuangalia
ujenzi wa nyumba hizo zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group,(kushoto
) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Ndg, Ayoub Mohamed Mahmoud.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Nd,Ayoub Mohamed Mahmoud
Akimkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein Moja ya zawadi zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi wakati wa Majumuisho ya Ziara ya Siku tatu Aliofanya kwenye
Mkoa wa Mjini Magharibi Kukagua Shuguli za Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein Akiwa Ameambatana na Viongozi Mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar baada ya Kuhitimisha Ziara ya Siku tatu kwenye Mkoa wa Mjini
Magharibi