
MTU ANAPOFANYA VIZURI BASI NI LAZIMA ASIFIWE. KATIKA KISIWA HIKI CHA ZANZIBAR MTOTO WA NYAMAKA REHEMA a.k.a LADY KISS KWA KIASI KIKUBWA AMEFANIKIWA KUKITEKA KISIWA HIKI KWA KUZIKONGO'LI NYIMBO ZA MWAMBAO, HAPA NAMAANISHA NYIMBO ZA TAARAB MAMBO YA VIDOLE JUU AMA RUSHA ROHO.
BINTI HUYU YEYE NI MTANGAZAJI KATIKA KITUO KIMOJA MAARUFU SANA CHA MATANGAZO HAPA ZANZIBAR CHA 90.9 CHUCHU FM.
KIUKWELI NI KWAMBA KUUPITIA KIPINDI CHAKE HICHO KINACHOITWA ''UTALIJUA JIJI'' KIPINDI AMBACHO KINAPENDWA SANA NA WATU WA JINSIA ZOTE MBILI KUTOKANA NA VIJINENO VYAKE VYA KICHOKOZI CHOKOZI HUKU AKIKOLEZWA MUNKARI KAMA SIO MZUKA NA DJ. WAKE AMBAYE ANAKUWA NAYE KATIKA KIPINDI HICHO DJ. SNAKE a.k.a NYOKA.
NAWEZA KUSEMA KUPITIA BLOG HII YA FUNIKO LA JIJI INAMPAN BIG UP SANA LADY KISS KWA BONGE LA LIKIPINDI LAKE HILO. NAMWAMBIA:- oyaaaa eeeeh!!! shaurilo ooo aliyekupa kitambaaa ndiye---------------------!!!!!!!!!!!!