TWANGA PEPETA
HEBU MDAU WA BLOG HII NISAIDIE,..
MARA NYINGI NIMEKUWA NIKIJIULIZA BILA KUPATA JIBU. HIVI NI KWA NINI VIJANA WA SIKU HIZI WALIO WENGI WAMEKUWA WAKIJIHUSISHA ZAIDI NA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WAKATI KUNA DANSI NA HATA ZILE ZA ASILI KAMA WANAVYOFANYA AKINA SAIDA KAROLI, MAUA NA WENGINE. AU NDO TUSEME HIZO BONGO ZA FLEVA ZINALIPA ZAIDI?
LAKINI MIMI NADHANI HATA DANSI NA BOLINGO PIA NI MO-FIRE, HEBU WATAZAME WANENGUAJI HAO HAPO JUU WANA WA KUTWANGA NA KUPEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KATIKA MOJA YA SHOW YAO YA UKWELI ILIYOANDALIWA NA MA- FAZA WA BURUDANI VISIWANI ZENJI TAFF PROMOSHENI.
TMK WANAUME FAMILY
NA HIYO HAPO JUU NI SHUGHULI KUTOKA KWA TMK WANAUME FAMILY, MH.TEMBA, CHEGE, KR PAMOJA NA WANYAMWENGA WENGINE CHINI YA MKUBWA FELLA. HEBU NIPE JIBU MDAU. KATI YA BONGO FLEVA NA MIZIKI MINGINE UPI UPO JUU ZAIDI?????