
Ni ukweli usiofichika kwamba kila binaadamu mwenye sifa ya kuitwa binaadamu ni lazima achimbe dawa awe brazameni au sista duu haijalishi yupo nyumbani, kazini au hata safarini.
Na wengine pia wanaamini ya kwamba hilo ni bonge la starehe.
Hebu mcheki huyo 'MTASHA' anavyojichimbia dawa zake wala hana wasi wasi, sasa ishu ni hapo atakapogeuka nyuma na kumuona huyo mfalme wa pori a.k.a lion yupo nyuma yake anakuja akiwa na njaa isiyopimika.
ETI, KAMA UGEKUWA NI WEWE UNGEFANYAJE?