
Hiyo ni timu ya mabosi wa taasisi ya upatu a.k.a ' DECI' ambayo kauli mbiu yake ni 'panda pesa' jamani!
wakiwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar Es Salaam tayari kwa kujibu shitaka la kuendesha taasisi yao hiyo bila ya kuwa na kibali.