
Kwa taarifa yako tu aliyekuwa striker wa Man utd Mreno Christiano Ronaldo ndiye anayeongoza kwa kuuzwa kwa kiasi kikubwa cha pesa. Mreno huyo ameuzwa kwa ada ya uhamisho ya euro 94 million ambazo ni sawa na paundi milioni 80 au dola 131 kutoka kwa wa-spanyola Real Madrid.
Tazama chati hii:-
Christiano Ronaldo ---- paundi million 80.0 (euro 94)
Zinedine Zidane ----- paundi million 76.0
Kaka ------- paundi million 65.0
Luis Figo ------ paundi million 58.6
Herman Crespo ------ paundi million 53.6
Gianluig Buffon ------- paundi million 49.2
Robinho ------- paundi million 49.0
Christian Vieri ------ paundi million 48.3
Andriy Shevchenko ------ paundi million 46.5
Dimitar Berbatov ------ paundi million 46.1
Pavel Nedved ------ paundi million 46.2
Rio Ferdinand ------ paundi million 43.9