
Huyo faza hapo ni dreva a.k.a nahodha wa boti ya Seagull akiwa ameuchapa usingizi huku miguu yake ikiwa juu ya mitambo. Mimi najaribu kujiuliza je endapo kutatokea dharula yeye si atakuwa bado anakoroma? Haya wahusika kazi kwenu. Msinichukie kwa kusema ukweli

Huyo ni abiria akitoka bongo kuelekea kunako visiwa vya karafuu a.k.a Zenji kwa kutumia boti hiyo.
Picha kwa hisani ya mdau.