kinachonikera hasa katika jamii,ni baadhi ya mabinti wadogo kuchukuwa waume za watu na kuziacha familia katika wakati mgumu,tena kama haitoshi basi binti anafanya kila njia ili kumdhibiti huyo mume wa mtu hata kwa mganga ataenda ili mradi tu amdhibiti.
.Jamani embu tuwahurumie wanawake wenzetu walioko ndani ya ndoa kwani ni mateso makubwa wanayoyapata kwasababu yenu nyie mnaopenda mabwana wa watu,kama vipi tafuteni wenu acheni hizo haipendezi hata mungu hapendi.