
Hatimaye timu ya soka ya Uingereza ya Manchester United imeafiki kitita cha fedha kilichovunja rekodi ya mauzo ya mchezaji duniani cha paundi milioni 80 kwa Cristiano Ronaldo il ajiunge na Real Madrid y Uspanyola.
United imelezea zabuni hiyo kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kama isiyokuwa na masharti na kuongeza wanatumaini makubaliano kamili yatafikiwa mwishoni mwa tarehe 30 mwezi huu wa Juni.
Je! Ronaldo atakwenda Real Madrid Au Atabaki Old Traford? Na kama atafanikiwa kwenda Man yuu itatetereka au itakuwa kama ilivyo kwa ssa????????????
MIMI NA WEWE YETU MASIKIO.