Mdau kama nilivyokwambia katika Breking nyuuuz kwamba kati kati ya mwezi wa sita nilipata bahati ya kukitembelea kisiwa cha Pemba. Jamani Pemba inapendeza kupita kiasi kuanzia bara bara mpaka hali ya hewa.
Hebu kwanza angalia bara bara za Pemba zilivyokuwa mswano.
Bara bara hii inaelekea Chanjamjawiri.
Na hii hapa chini inaelekea kule kulikokuwa zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

Lakini pia watoto na pamoja na watu wa huko na wakarimu sana. Hebu wacheki hapa wana shoo lavu na washikaji waliokuwa wakizinadi huduma ya kampuni ya simu za mkonononi a.k.a ze deshi deshi.
endelea kuwepo!!!!!!!