Jamani ndugu zanguni, kama kweli tunataka tuwapate viongozi waliokuwa bora basi hatuna budi ya kuwapigania na kuhakikisha hata nyenzo zao zinaendana na wakati husika. Lakini huo ni mtazamo wangu mie kaka yenu sijui nyie wadau mnaonaje,!? Aaah! bana we, ngoja mimi nikae kimya naogopa kufuatwa ma 'matarumbeta nikasutwa.'