MWISHONI mwa wiki iliyopita washikaji wa pande za kule nga'mbo ya pili ya Tanzania, namaanisha Zanzibar walipata burudani ya kiukweli ya mzigo unaokwenda kwa jina la FIESTA.
Ebana sio siri show ilikuwa ni noma arbabu si unajua kitu cha fiesta mara zote kinakuwa full tui!? Mchizi kwenye moko na bee anaitwa Dj. Dr. B dogo alikimbiza mbaya katika kuwarusha wana da shosti na Makabi haifa a.k.a MAMEN. Mwana kafaka kama hayuko siriaz vile na ma mixing yake lakini ni balaa. Ila mimi kiukweli sikuwa poa kabisa kwa sababu mapande yale ya show nilitegemea kushow love na wanangu kina G Voice a.k.a Ze hala beib, mwanangu Issa Ndokeji a.k.a Bobo Dread, Ray Nyamaka a.k.a kitu cha UDOSINI, lakini pia na Halifa Pandu a.k.a Ras Midude Lakini cha ajabu hawakuwepo cha kule banaaa. Poa bana mie kiunyonge nilishoo love na mai waifu wangu Catherine David.
NAMI NAWAAMBIA WAPENZI WOTE WA BLOG HII ONE LUUUUUUUUUV.!!!!!