NDUGU ZANGUNI KWA UWEZA WA KWAKE MWENYEZI MUNGU SUBH HANNA LLAH AMEWEZA KUTUKUTANISHA TENA LEO BAADA YA MASIKU KIBAO.Natambua kama mlini misi sana lakini kiukweli ni kwamba kaka yenu nilibanwa sana na majukumu tena ni ya kimsingi zaidi, ikiwa ni pamoja na mambo fulani ya kupiga kitabu. Sasa basi sio kesi kubwa kuanzia sasa kama kawa kama dawa yani ni wera wera. KARIBUNI SANA JAMANI
Title : WAUNGWANA WAZIMA JAMANI????
Description : NDUGU ZANGUNI KWA UWEZA WA KWAKE MWENYEZI MUNGU SUBH HANNA LLAH AMEWEZA KUTUKUTANISHA TENA LEO BAADA YA MASIKU KIBAO. Natambua kama mlini m...
Rating : 5