Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia eti wale ndugu zetu watu wafupi wana ma-problem yani matatizo, kwa mshtuko mkuba sana nilibidi nishangae kwa sababu hata
WIFI yenu naye ni shot chesis? Utasikia ooh, nyie watu wafupi mnaongea sana, mara ooh, watu wafupi watembezi a.k.a wazururaji jamani eti kweli hayo.?
Mbona watu warefu kama kina G-voice hamuwasemi kama wanapenda kula???? Msiwafanyie hivyo bana. Kwanza wafupi wengi wao ni wanene, shavu dodo, wana shepu bomba na vitu kama hivyo. Mbona hamuwasemi wenye sura mbaya au mnawaogopa?