Hawa watu sijui wamepotelea wapi, eti mdau wewe unaweza ukanisaidi kutegua kitendawili kuhusu walipopotelea hawa
'wanyamwenga'?Lakini pamoja na hilo mimi kaka yenu nina swali moja tu kwako. Unadhani ni kwa nini Maimartha hajamshika mtu mwingine zaidi ya Ben? Hapo namuona Ben Kinyaiya, Seki, Tedy Kalongaa.k.a T.K, Mamaa ya P.Didy na Abba. Hao wengine ni akina nani nisaidieni kaka yenu jamani wako wapi hawa 'masupa staa wa bongo'.