Hao ni baadhi ya wapenda soka na wapenzi ya timu ya Internazionale Millani wakishangilia ushindi wa timu yao hiyo ambapo Iter ilishinda kwa magoli 2-0 Magoli yote yakifungwa na Millito. Mzigo huo wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE ulipigwa katika dimba la Sanitago Bernabeu kule jijini Madrid nhini Hispania.
Hawa jamaa nao hawakuwa nyuma. Wamefurahi haooo.