waungwana eeh!!! Kiukweli jamani ni kwamba hakuna mtu asiyependa kula. kati kaka yenu nilipata mwaliko wa kushiriki katika bonge la Birth day ya mwana da sweetness mmoja hivi, sasa ndugu yangu muda wa maakuli ulipofika, duh! nilichoka mwenyewe na hilo
SHANTALE sio la kitoto.
WAZEE WA MEZA MPOOOOOOOOOOOOO..!!!!!!!!