' Mnyamwenga' huyo hapo kauchapa usingizi kati kati ya jiji la Dar Es Salaam tena ni mchana wa jua kali yani kweupeeeeeeeeeeeee!!!! Jamani tusikurupuke kuja mjini kama hatuna ishu za msingi. Ushauri wangu ni bora tubaki huko huko bushi na kupiga jembe.