Hawa jamaa ndiyo walioibuka kidedea katika mtanange wa kumtafuta bingwa wa vichekesho katika ze comedi search ya EA TV a.k.a channel five. Je! Ze comedi Orijino ya Masanja, Joti, Mpoki, Mac Regan, Wakuvanga na Yule dogo mwingine wataweza kujibu mashambulizi?????