Mkali 'Snalishaz' hapa akiwa kwenye chombo chake ch usafiri kuelekea kazini kwake. Mwana dashosti yeye ni mtangazaji wa kituo maarufu cha Radio katika kisiwa cha Zanzibar cha 93.5 Hits fm.
Hapo Snahlishaz aliyeweka mkono shavuni akiwa mzigoni ndani ya mjengo wa
93.5 Hits fm pande za Zanzibar, mdada anafanya poa sana katika bonge ya kipindi cha wajanja kinachokwenda kwa jina la
Hits vibe zone kuanzia time ya saa 7-10jioni kila siku za jumatatu mpaka ijumaa. Aliyesimama nyuma yake anaitwa Samira, na kushoto yake ni Mwanahamis Kajembe wote wanauwakilisha poa mjengo huo wa
93.5 Hits fm. BIG UP KWENU
Baada ya kutoka mjengoni kuwakilisha, hapa 'mkali'
Snalishaz yupo ufukweni akipunga upepo mwanana wa bahari ya hindi. BLOGI HII INAMTAKIA KILA LA HERI MKALI SNALISHAZI KATIKA KAZI YAKE HIYO, NA PIA KUWAOMBA MABINTI WENGINE WAWE NA WIVU WA MAENDELEO KWA KUMUIGA MWENZAO.