
Kocha Wa Taifa Stars Jean Paulsen
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Jean Paulsen ametangaza kikosi chake cha wachezaji 18 atakachokitumia kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Mozambique.
MAKIPA: Shaaban Kado (Mtibwa Sugar) na Shaaban Dihile(Jkt Ruvu),
WALINZI: Shadrack Nsajingwa (Yanga), Aggrey Moris (Azam), Nadir Haroub 'Cannavaro' (Yanga), Amir Maftaha (Simba), Juma Nyoso (Simba), na Kigi Makasi (Yanga).
VIUNGO: Nurdin Bakari (Yanga) Shabaan Nditi (Mtibwa Sugar), Nurdin Aziz (Azam), Ramadhan Chombo 'Redondo' (Simba), na Mwinyi Kazimoto (Jkt Ruvu).
WASHAMBULIAJI: Machaku Salum (Mtibwa Sugar), Mrisho Ngassa (Azam), Mohamed Banka (Simba), John Bokko (Azam), Mbwana Samata (Simba).
Lakini Pia wachezaji wafuatao atawaita kwenye mchezo wa kufuzu CAN 2011 dhidi ya CAR ni: Juma Kaseja, (Simba), Idrissa Rajab (Sofapaka, Kenya), Henry Joseph (Kongsvinger IL, Norway), Abdi Kassim (DT Long An, Vietnam), Dan Mrwanda (DT Long An Vietnam), Nizar Khalfan ( Vancouver wahite caps, Canada) na Athuman Machupa (Vasalund IF, Sweden).